bitcoin-20

.The Future Of Money Worldwide.

How The Bitcoin Revolution Will Bring World Peace

Jina langu ni Van Valkenburgh Mkurugenzi wa utafiti katika kampuni ya CoinCenter, kampuni huru isiyo ya kimaslahi kwenye sera ya umma kuhusu mambo yanayoathiri cryptocurrency kwenye mitandao ya kiumma Bitcoin ni nini? Bitcoin ni kampuni namba moja duniani kwenye cryptocurrency kwa sababu ni ya kwanza katika sekta ya kimtandao kwa umma Bitcoin inajishughulisha na nini? Rahisi.Inakusaidia kutuma na kupokea kiasi cha pesa kutoka na kwenda kwa mtu yoyote duniani kwa kutumia Zaidi ya kompyuta au intaneti Kwa nini Bitcoin ni ya kimapinduzi? Kwa sababu tofauti na njia zingine za kutuma pesa kimtandao wa intaneti hii inafanya kazi bila uhitaji wa mtu wa kati/ mlanguzi. Kukosekana kwa ushirikiano wowote katika njia kwamba Bitcoin ni kampuni namba moja katika umma yenye malipo ya mfumo wa kidigitali. Na kwa umma namaanisha kuwa upatikanaji kwa wote na sio umiliki wa mtu mmoja. Tuna mifumo ya umma ya kimawasiliano inayojulikana kama tovuti na barua pepe. Hii inajulikana kama intaneti. Lakini mifumo ya kimalipo ya umma tuliyonayo ni ya pesa taslim, yaani pesa ya makaratasi. Na inafanya kazi za kimiamala uso kwa uso tu. Kabla ya Bitcoin ilikua kama kunahitaji la kumlipa mtu kwa kutumia simu au kwa inteneti haikua rahisi kwa kutumia mifumo ya umma. Ulihitaji kuwa na akaunt binafsi ya benki ili kufungua vitabu vya leja ambavyo vilikukata mlipaji na kumlipa unaemtumia. Na ikiwa wote hamtumii benki moja basi ililazima kufunguliwa Zaidi ya kitabu kimoja cha leja katikati yake. Ukiwa na Bitcoin, leja ni mfumo kiumma. Na mtu yoyote anaweza akaongeza leja mpya na kutuma Bitcoin zake kwa mtu mwingine. Mtu yoyote bila kujali utaifa, rangi, dini au thamani ya mkopo anaweza kwa bila gharama yoyote ile kutengeneza anwani ya Bitcoin ili kupokea pesa kimtandao. Bitcoin ni namba moja duniani kwa urahisi wa upatikani wa pesa kwa umma. Je ni ya uhakika? Hapana Hata pia ilipoanzishwa barua pepe 1972. Bitcoin sio mfumo bora wa kifedha katika kila ukingo. Bado haijakubalika sehemu zote, haitumiki mara nyingi kunukuu bei na pia sio madhubuti kwenye kuthaminisha. Lakini inafanya kazi tu bila maamuzi ya mtu wa kati ambayo ni nzuri sana. Ni elimu ya kisayansi yenye mafanikio na itakua yenye uhuru wa kimafikinikio ya ustawi wa binaadamu hasa kwa kuzaliwa kwa intaneti.- Bitcoin ni mwanzo tu. Na tukiweza kupata mbadala wa mfumo wa malipo ya kibinafsi basi tutaweza kubadilisha mifumo mingine binafsi ya kimuingiliano inayombana mwanaadamu. Kwa nini tunataka kujenga zaidi mifumo ya umma? Kwa nini tukumbatie blockchains juu ya mifumo ya kimaamuzi ya kishirikiano? Kwa nini tuvumilie udhaifu wa kazi zao ili wawe bora? Kwa nini tusiwafanye waanzilishi wa teknolojia hapa Marekani wasikimbie nje ya nchi? Sababu ni rahisi Kwa sababu maamuzi ya kishirikiano yanasababisha leo hii kuwepo na udhibiti wa mifumo ya kibinafsi na yamekua machache, makubwa na yenye nguvu maradufu. Na mapungufu yao yanaongeza kwa kias kikubwa . Takriban nusu ya wamarekani milioi 143 namba zao za usalama wa kijamii zimekua hatarini kudukuliwa kwa sababu ya ukiukwaji wa Equifax. Mfumo mwepesi umesababisha miamalaya mamilioni ya dola kulaghaiwa kwa sababu ya kudukuliwa kwa taarifa za benki za Bangladesh, Vietnam, Ecuador na Russia. Shirika la FBI inatuhumu kuwa idadi kubwa ya udukuzi ilitekelezwa na Korea ya Kaskazini. Ufisadi wa watumishi wa kima cha chini katika benki ya India, taifa la Punjab waliweza kuthibitisha ulaghai wa ujumbe wa Swift wa kuiba bilioni 1.8. Tukio hili ni la kihistoria na kubwa zaidi kutokea la wizi wa kimtandao katika benki. Mnamo mwezi Oktoba 2016 inakadiriwa vifaa 1.2 milioni vilivyounganishwa na intaneti vilidukuliwa na vikasimama kwa masaa kadhaa kufanya kazi, na kufanya mitandao maarufu duniania kutopatikana hewani Bara la Ulaya naMarekani ya kaskazini, yakiwemo mashirika kama CNN, na Fox News, Jarida la New York na Jarida la Wall street. Zaidi mashine zingine zilizoungwanishwa na inteneti ili ziweze kufanya kazi, ambazo zimeunganishwa katika server zinazomilikiwa na kampuni binfasi zenye kuaminika kwa maamuzi. Pacemakers ( Kifaa cha moyo) kutoka hospitali ya mtakatifu Jude zilidukuliwa. Vifaa vya uangalizi wa watoto kutoka Trendnet vilidukuliwa. Na Jeep kutoka kampuni ya Jeep vilidukuliwa kias kwamba magari yaliweza kuendeshwa nje ya njia bila usimamizi. Udhaifu huu hauwezi kuepukika ikiwa tu mifumo ina chembe za kufeli. Haijalishi kama chembe za kufeli zinatokana na ushirikiano au ni Serikali. Haitakiwi kuwe na chembe hata moja ya kufeli Mazingira haya ya kufeli pia yalikuwepo kabla ya intaneti. Kama ulitaka kufikisha ujumbe ilikubidi utumie Zaidi ya makampuni matatu ya matangazo ya televisheni au magazeti .Mashirika binafsi ni muhimu lakini sio mifumo muhimu kuitegemea iwe ni shirika moja au mawili. Intaneti imeondoa chembe moja ya kufeli kwenye mifumo ya mawasiliano na kupelekea mawimbi ya ushindani miongoni mwa mashirika mapya ya habari. Blockchains zinaweza kutofautisha malipo muhimu na mifumo ya IoT. Teknolojia bado haipo tayari kutoa majibu ya maswali hayo mpaka leo lakini ndio imebaki kuwa tumaini letu. Na kwa kuzinduliwa kwa intaneti miaka ya 1990 inatubidi tuongeze nguvu kuhakikisha uvumbuzi kama huu unastawi hapa Marekani kwa manufaa na usalama wa wamarekani wote.

* Bitcoin White Paper

Report This Post

Explain other reason (300 max char):
Explain other reason (100 max char):